Loading ...

0
Category

Entrepreneurship

Reviews

5 (1 Rating)

Preview this course

Course Description

PATA MITAJI 100% GUARANTEE

“Fomula 10 Usizozijua za Kupata Mitaji kutoka Vyanzo 15 Vya Mitaji. Fomula hizi zitakupa matokeo 100% guarantee”.


Utajifunza fomula za Kupata mitaji ambazo ni 100% zitakuletea hela kwenye biashara yako. Hutakuwa na kilio tena cha nitapataje mitaji


Tatizo kubwa lililopo Tanzania hasa kwa wajasiriamali kama wewe si uhaba wa mitaji bali ni uhaba wa taarifa kwa kitalaamu niseme INFORMATION GAP PROBLEM

Asilimia kubwa ya wajasiriamali kama wewe hawajui wapi mitaji inapatikana na fomula sahihi za kuipata mitaji hiyo.

Ndani ya Kozi hii utanufaika na kujifunza yafuatayo:
1) Vikwazo vinavyokuzuia usipate mitaji
2) Vifaa unavyotakiwa kuwa navyo ili upate mtaji wowote unaohitaji.
3) Namna ya kujipakeji na kujiandaa ili upate mitaji na uwekezaji wowote unaotaka.
4) Mambo ya msingi ya kuzingatia ili uhakikishe mitaji inakuja kwako liwalo na liwe.
5) Vyanzo 15 vya mitaji na uwekezaji wa biashara yako.
6) Fomula 10 zinazotumiwa na wajasiriamali wajanja kupata mitaji.
7) Links zaidi ya 500 za mitaji ambazo unaweza kuzitumia kupata mitaji.
8) Vitabu na Miongozo mbalimbali ya Namna ya kufanya biashara, kuuza na kupata mitaji.
.

Course Curriculum

1 Hakikisha Unamiliki Mitaji 5 Iliyo zaidi ya Pesa
15
2 Jiandae Kimkakati, Mitaji inakutafuta
15
3 Jiandae kwa kujifunza kwa mifano
17
4 Fuatilia Mifano hii Ujifunze na Kujipanga
17
5 Jifunze kwa mifano kutoka kwa wengine
20
1. Vyanzo 15 Vya Mitaji Toleo 1

Shopping Cart

Loading...